Numbers 21:3

3 a Bwana akasikiliza ombi la Waisraeli, naye akawapa ushindi juu ya Wakanaani. Wakawaangamiza kabisa na miji yao; hivyo mahali pale pakaitwa Horma.
Horma maana yake Maangamizi.

Nyoka Wa Shaba

Copyright information for SwhKC